Ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge la Bajeti kwenye Miundombinu ya Gesi Asilia katika Mikoa ya Lindi na Mtwara

Read More


MATUKIO KATIKA PICHA: UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI KUTOKA HOIMA-UGANDA HADI TANGA-TANZANIA

Mhe.Rais wa  Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwasili eneo  la tukio-Chongoleani ambapo Shughuli ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Bomba la Mafuta Ghafi uliofanyika tarehe 5 Agosti, 2017 Mhe. Rais wa  Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimkaribisha Mhe. Rais wa  Jamhuri ya Uganda Mh. […]

Read More


TPDC Yachangia Milioni 10 Kujenga Ofisi ya Mtaa

Kaimu Mkurugenzi Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Mhandisi Kapulya Musomba akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 Mwenyekiti wa Mtaa huo Bw. Geofrey Chacha kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Mji Mpya-Pugu Mjohe Jijini Dar es Salaam, katikati ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi. Elizabeth […]

Read More


TPDC yachangia ukarabati wa Kituo cha Polisi Mtwara

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TPDC, Prof. Sufian Bukurra (wa pili kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni tano kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, George Salala (wa kwanza kushoto) kwajili ya ukarabati wa Kituo cha Polisi Uwanja wa ndege Mtwara, wengine ni Kaimu Mkurugenzi wa TPDC Mhandisi, Kapuulya Musomba (kwa kwanza kulia), […]

Read More


Shule ya Sekondari Kisungu ya Ilala Yapokea Viti Kutoka TPDC

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limekabidhi viti 142 vyenye thamani ya shilingi milioni 6 katika Shule ya Sekondari Kisungu iliyopo kata ya Kinyerezi jijini Dar es Salaam. Meneja Mawasiliano wa TPDC, Marie Msellemu akikabidhi viti hivyo amesema viti hivyo vitasadia kutatua changamoto ya wanafunzi kukosa viti shuleni hapo. Amengoze kuwa mchango huo wa […]

Read More