MATUKIO KATIKA PICHA: UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI KUTOKA HOIMA-UGANDA HADI TANGA-TANZANIA

AE8A2667

Mhe.Rais wa  Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwasili eneo  la tukio-Chongoleani ambapo Shughuli ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Bomba la Mafuta Ghafi uliofanyika tarehe 5 Agosti, 2017

AE8A2718

Mhe. Rais wa  Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimkaribisha Mhe. Rais wa  Jamhuri ya Uganda Mh. Yoweri Kaguta Museveni katika eneo la tukio-Chongoleani

AE8A2817

Naibu Waziri wa Nishati na Madini  Mhe.Dkt. Medard Kalemani akitoa maelezo mafupi ya Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Mafuta Ghafi kutoka Hoima-Uganda hadi Tanga-Tanzania.

AE8A3018

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Kassim akitoa salamu kwa Wananchi waliohudhuria tukio la uwekaji wa Jiwe la Msingi ujenzi wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi

AE8A3057

Rais wa  Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni akihutubia hadhara juu ya Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Hoima hadi Tanga huku akionesha Imani na Mapenzi yake kwa Tanzania

AE8A3095

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph  Magufuli akihutubia Umma wa Watanzania, Wageni Waalikwa na Taasisi mbalimbali ambazo zilihudhuria shughuli ya uwekaji wa Jiwe la Msingi

AE8A3100

 Baadhi ya Wananchi wa Wilaya mbalimbali za Mkoa wa Tanga waliohudhuria na kushuhudia tukio la uwekaji wa Jiwe la Msingi Mradi wa Bomba la Mafuta katika Kijiji cha Chongoleani.

AE8A3186

Mhe. Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Mhe.Rais Yoweri Kaguta Museveni wakikata utepe  kama ishara ya kuwekwa rasmi kwa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Uganda hadi Tanzania

AE8A3206

Mhe.Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Mhe.Rais Yoweri Kaguta Museveni wakipongezana baada ya kukamilsha zoezi la Uwekaji wa Jiwe la Msingi kama Ishara ya kuanza Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi

AE8A3335

Mhe.Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Uganda wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Wizara za Nishati na Madini (Tanzania na Uganda) pamoja na  watumishi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)


Comments