Ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge la Bajeti kwenye Miundombinu ya Gesi Asilia katika Mikoa ya Lindi na Mtwara

Bw. Laurent Jars-Meneja Uendeshaji wa KIwanda cha Kuchakata Gesi Asilia cha Maurel and Prom kilichopo Mnazi Bay Mkoani Mtwara akitoa maelezo kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la Bajeti namna Kiwanda hicho kinavyofanya kazi

MTWARA 1A
Bw. Laurent Jars kutoa maelezo kwa Wabunge namna ambavyo uchakataji wa Gesi Asilia unavyofanyika kiwandani hapo
Meneja wa Kiwanda cha Kuchakata Gesi Asilia kinachomilikiwa na TPDC, Mhandisi Leonce Mrosso akiwaleza waheshimiwa Wabunge namna kiwanda hicho kinavyofanya kazi

Mhandisi Felix Nanguka (kushoto) akifafanua jambo kwa Waheshimiwa Wabunge wa Kamati kuhusu Kisima cha gesi asilia (hakipo pichani) wakati Kamati hiyo ilipofanya ziara yake Mkoani Mtwara kukagua Miradi ya gesi asilia

Comments