e-Mrejesho
Wasiliana nasi
Maswali
EN
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania
(TPDC)
MENU
Mwanzo
Kuhusu Sisi
Historia yetu
Dira na Dhima
Majukumu yetu
Menejimenti
Bodi ya Wakurugenzi
Muundo wa Taasisi
Uendelevu
Mazingira
Jamii
Usalama na Afya
Fursa
Uwekezaji
Matangazo ya Ajira
Zabuni
Kituo cha Habari
Maktaba ya Picha
Maktaba ya Video
Hotuba
Taarifa kwa Umma
Miradi
Mkondo wa Juu
Mkondo wa Chini
Mwanzo
Habari
Habari
04 August, 2025
DC MWANZIVA AIPONGEZA TPDC KUSHIRIKI MAONESHO YA NANENANE KANDA YA KUSINI
Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Mheshimiwa Victoria Mwanziva, amelipongeza Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa...
04 August, 2025
TPDC YATEKELEZA PROGRAMU YA UELIMISHAJI JAMII KUHUSU MRADI WA UCHUKUAJI WA TAARIFA ZA MITETEMO MIKOA YA LINDI NA MTWARA
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limetekeleza programu muhimu ya utoaji elimu kwa wadau na jamii zinazopi...
29 July, 2025
MASLAHI MAPANA YA NCHI YANAZINGATIWA UTEKELEZAJI WA MRADI WA EACOP – DKT. MATARAGIO
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Sekta ya Mafuta na Gesi Wizara ya Nishati, Dkt James Mataragio, amesema utekelezaji w...
29 July, 2025
DKT. MATARAGIO ATEMBELEA VITUO VYA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI LA AFRIKA MASHARIKI EACOP VILIVYOKO IGUNGA - MKOA WA TABORA
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Sekta ya Mafuta na Gesi kutoka Wizara ya Nishati Dkt. James Mataragio, tarehe 26 Jula...
28 July, 2025
KATIBU MKUU NISHATI ATOA WITO WA UONGOZI UNAOACHA ALAMA KWA MENEJIMENTI YA TPDC
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, ametoa wito kwa Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petr...
07 July, 2025
SHILINGI BILIONI 120 KUTEKELEZA UJENZI WA BOMBA LA KUSAFIRISHA GESI ASILIA KUTOKA NTORYA HADI MADIMBA MKOANI MTWARA
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema litatumia takribani shilingi bilioni 120 kwa ajili ya ujenzi wa...
07 July, 2025
TPDC NA KAMPUNI YA ENERGETECH TANTEL KUJENGA MITAMBO MIDOGO YA GESI KIMIMINIKA (MINI LNG PLANT)
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya Energetech-Tantel zimefikia makubaliano ya utiaji saini wa...
27 January, 2025
TPDC kiungo muhimu utekelezaji wa agenda ya Umeme Africa
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania limeonekana kuwa kiungo muhimu katika kuwezesha agenda ya viongozi wakuu w...
27 January, 2025
Kamati ya Bunge yaishauri Serikali Kupanua Miundombinu ya Gesi Asilia Nchini
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kuongeza ujenzi wa vituo vya kujaza gesi asilia kweny...
27 January, 2025
NAIBU WAZIRI WA NORWAY KUTEMBELEA KITUO CHA GESI CHA LINDI LNG
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway, Mhe. Andrea Motzfeldt Kravik, ameonesha kuridhishwa kwake na maendeleo ya maan...