TPDC YAKABIDHI KAMBI NAMBA 8 KWA SERIKALI YA KIJIJI CHA NJIANNE WILAYA YA KILWA

Meneja Mawasiliano na Mahusiano wa TPDC Bi. Marie Msellemu akikabidhi hati ya makabidhiano ya Kambi Namba 8 kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilwa Dr. Khalfan Ilekizemba.   Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeendelea kuimarisha huduma mbalimbali za kijamii kwa Vijiji na Mitaa inayoguswa na miundombinu ya bomba la gesi asilia kutoka Mtwara […]

Read More


TPDC YAENDELEA KUIMARISHA HUDUMA ZA KIJAMII KINYEREZI NA KIBITI

Meneja Mawasiliano wa TPDC Bi.  Marie Msellemu akikabidhi hundi ya kiasi cha shillingi Milioni 22 kwa Mkuu wa Shule ya Msingi Kinyerezi Mwalimu Mwl. Pendaman Kajiru Shirika la Petroli  Maendeleo ya Tanzania (TPDC) limeendelea na mchakato wa kuwajibika kwa jamii na kuendelea kuimarisha huduma mbalimbali zinazowagusa wananchi moja kwa moja kama elimu, afya, maji na […]

Read More


TPDC YATOA MILIONI 56 KUJENGA VYOO MASHULENI MKOANI LINDI

Choo kipya cha Hingawali kilichojengwa kwa udhaminii wa TPDC Katika hatua za kuhakikisha sekta ya elimu nchini inaimarika, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limetoa fedha kiasi cha shilingi milioni 56 ili kutatua kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa vyoo unaoukabili Shule za Msingi Mkoani Lindi. Akitoa ufafanuzi juu ya fedha hizo, Meneja Mawasiliano wa […]

Read More


TPDC YAIMARISHA SEKTA YA ELIMU MKOANI MTWARA

Bi. Marie Msellemu, Meneja Mawasiliano wa TPDC akimkabidhi hundi Mkuu wa Mkoa wa   Mtwara Mh. Bw. Gelasius Byakanwa kiasi cha Tsh,. 13, 258,042 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa Mkoani Mtwara. Katika jitihada za kutekeleza dhana ya uwajibikaji kwa jamii (CSR) Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeendelea kutekeleza kwa vitendo dhana hii kwa […]

Read More


Utekelezaji wa mradi wa kuunganisha gesi asilia kwa matumizi ya majumbani washika kasi

Dar es Salaam, 30 Julai 2018 Ni miezi mitatu sasa tangu Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani alipozindua rasmi mradi wa kuunganisha bomba kubwa la gesi asilia linalotoka Mtwara hadi Dar es Salaam na bomba la kipenyo kidogo linalotoka Ubungo kuelekea Mikocheni. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Mha. Kapuulya Musomba […]

Read More