Our Latest Blog Posts
28
Jun

Nyumba 570 Zaunganishwa na Mtandao wa Gesi Asilia Dar es salaam

Nyumba 570 Zaunganishwa na Mtandao wa Gesi Asilia Dar es salaam Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeendelea na utekelezaji wa miradi ya kusambaza gesi asilia ambapo nyumba 570 za maeneo ya Sinza na Kota za Polisi Kurasini jijini Dar es Salaam zimeunganishwa na mtandao wa gesi asilia.Akizungumza wakati wa ukaguzi wa mradi huo, Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dkt. James Mataragio alisema, “ tumekamilisha mradi huu wa nyumba 570…

Read more →
11
Jun

Raisi Samia Atoa Rai Kwa TPDC

Dodoma, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amesema anataka kuona Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) linakuwa Shirika la kimkakati nchini ili kwa miaka ijayo shughuli zote za kuchakata na kusindika gesi asilia zifanywe na Shirika hilo. Rais Samia alisema hayo Juni 11,2022 wakati wa hafla ya utiaji Saini makubaliano ya awali ya mkataba wa nchi hodhi wa mradi wa kusindika gesi asilia  kuwa kimiminika (LNG), ambapo ameiagiza Wizara ya…

Read more →
08
Jun

TPDC KUJENGA VITUO VINNE VYA GESI ASILIA

Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Dkt. James Mataragio alisema, ‘’kufikia mwezi Machi, 2023 Shirika litakuwa limekamilisha ujenzi wa vituo vinne vya kujaza gesi asilia iliyoshindiliwa (CNG) na kuanza kufanya kazi kwa ajili ya magari na majumbani.’’ Hayo yalibainishwa   Juni 8, 2022 wakati wa utiaji saini wa makubaliano kati ya TPDC na   Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) ya kutumia eneo kujenga…

Read more →
01
Nov

Makamba Meets Algeria’s Minister of Energy and Minerals

[aioseo_breadcrumbs] Algiers, Algeria   The Minister of Energy, Hon. January Makamba has continued his working visit abroad where on 28 October 2021 he met and held talks with the Minister of Energy and Minerals of Algeria, Hon. Mohamed Arkab. During the talks, Minister Makamba described the historic relations that exist between Tanzania and Algeria and expressed the intention of the Government of Tanzania to develop these relations in the economic…

Read more →
24
Oct

Makamba Meets Saudi Arabia Minister

[aioseo_breadcrumbs] Riyadh, Saudi Arabia The Minister of Energy, Hon. January Makamba met and held talks with the Minister of Energy of Saudi Arabia, Hon. Abdulaziz bin Salman Al Saud on the second day of a working visit to the country. During the meeting, Minister Makamba discussed various issues related to energy with his fellow Minister and also presented a special message from the President of the United Republic of Tanzania,…

Read more →
16
Oct

Deputy Minister Presents TPDC Honorary Award

By our Correspondent, Morogoro, Deputy Minister of Mines Professor Shukuru Manya presented an honorary award to the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC), organized by the Tanzania Geological Survey (TGS) as part of recognizing TPDC’s contribution to funding and sending representatives (many geologists) to meetings. of the year prepared and coordinated by the Community. The event took place today at the Annual General Meeting of the Geological Survey in the country…

Read more →
1 7 8 9