All Our Latest News and Blogs
We market and sell natural gas under PSA arrangement.
-
05Dec
NAIBU KATIBU MKUU AIPONGEZA TPDC KUTUMIA WATAALAM WA NDANI
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Ndg. Msafiri Mbibo amelipongeza Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa namna linavyotekeleza Miradi yake kwa kutumia Wataalam… Read More →
-
25Oct
TPDC YAPONGEZWA UHAMASISHAJI WA MATUMIZI YA NISHATI SAFI
Waziri wa Maji, Nishati na Madini Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Shaib Kaduara apongeza juhudi za Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) katika jitihada za… Read More →
-
24Oct
TPDC YAPONGEZWA KASI YA UTAFITIBONDE LA EYASI WEMBERE
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema kuwa mradi wa utafiti wa mafuta na gesi kwenye Bonde la Eyasi Wembere lililopo katika mikoa ya Simiyu,… Read More →
-
18Oct
UJENZI MRADI WA EACOP WAFIKIA ASILIMIA 45.5
Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), unaounganisha bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani, Tanga, umefikia asilimia 45.5… Read More →
-
03Oct
TPDC YATOA UFAFANUZI CHANGAMOTO YA VITUO VYA KUJAZIA GESI ASILIA KWENYE MAGARI
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limetoa ufafanuzi kuhusu changamoto ya upatikanaji wa huduma ya kujaza gesi kwenye magari katika vituo vya kujazia gesi… Read More →
-
20Sep
KADHIA YA KUJAZA GESI ASILIA KWENYE MAGARI KUTATULIWA DESEMBA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Mhandisi Felichesmi Mramba amewahakikishia watumiaji wa gesi asilia kwenye magari kuwa kadhia waliokuwa wakiipata kutokana na uhaba wa vituo… Read More →
-
17Sep
KAPINGA AFUNGUA KIKAO KAZI TPDC
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga Septemba 17, 2024 amefungua kikao kazi cha Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Jijini Mwanza.… Read More →
-
13Sep
NCHI NNE MBIONI KUNUFAIKA NA GESI ASILIA TANZANIA
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema tayari limeingia makubaliano na Kampuni mbili za kigeni kwa ajili ya ujenzi wa mitambo ya kisasa ya kusafirisha… Read More →
-
12Sep
BODI YA WAKURUGENZI TPDC YAKAGUA MIRADI YA CSR
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) wakiongozwa na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi hiyo Bw. Dismas Fuko wamekagua miradi… Read More →
-
10Sep
SERIKALI KUVUTIA WAWEKEZAJI UTAFUTAJI WA MAFUTA NA GESI NCHINI
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kuvutia wawekezaji katika tafiti na uchimbaji wa mafuta na gesi nchini… Read More →
-
09Sep
MIRADI YA GESI ASILIA KUWANUFAISHA WANANCHI
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema kuwa dhamira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha… Read More →
-
07Sep
MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI TPDC ASHIRIKI KONGAMANO LA INDONESIA AFRICA
Kwa mwaliko wa Serikali ya Indonesia, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TPDC Mhe. Balozi Ombeni Sefue, alihudhuria Kongamano la Indonesia-Afrika mjini Bali Indonesia. Pamoja… Read More →