All Our Latest News and Blogs
We market and sell natural gas under PSA arrangement.
-
02Apr
NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI AFANYA ZIARA TPDC
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio,amefanya ziara ya kikazi katika Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na kuzungumza na Menejimenti… Read More →
-
26Mar
NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI AZINDUA RASMI KIWANDA CHA UWEKAJI MIFUMO MBALIMBALI KWENYE MABOMBA YA MRADI EACOP
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amefanya uzinduzi rasmi wa Kiwanda cha uwekaji mifumo mbalimbali katika mabomba yatakayotumika kusafirisha mafuta… Read More →
-
23Mar
PIC YAFURAHISHWA NA UWEKEZAJI WA SERIKALI KATIKA SEKTA YA MAFUTA NA GESI
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imefurahishwa na matokeo ya uwekezaji uliofanywa na Serikali katika Sekta ya mafuta na… Read More →
-
20Mar
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) YARIDHISHWA NA MATUMIZI YA FEDHA ZINAZOTOLEWA NA SERIKALI MRADI WA EACOP
Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Hesabu za Serikali (PAC) imefanya ziara ya kikazi katika Kiwanda cha kuweka mifumo ya kupasha joto mabomba ya mradi… Read More →
-
31Aug
KAMPUNI TANZU ZA TPDC; GASCO NA TANOIL ZAPATA BODI ZA KUDUMU
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) leo tarehe 31/08/2023 limezikabidhi rasmi Kampuni zake Tanzu za GASCO na TANOIL miongozo na Sheria mbalimbali zitakazowaongoza katika… Read More →
-
20Jul
TPDC KUONGEZA WIGO WA MATUMIZI YA GESI ASILIA
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Bw. Mussa Makame amesema TPDC imejipanga kuhakikisha gesi asilia inayozalishwa Nchini kwaajili ya kuzalisha nishati… Read More →
-
08Jul
MAKAMANDA WA JESHI LA POLISI WATEMBELEA MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA MKOANI MTWARA
Maafisa kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, Makamanda na Wakuu wa Polisi kutoka Mikoa ya (Dar es salaam, Pwani, Lindi na Mtwara) inayopitiwa na… Read More →
-
07Jul
TPDC, TAQA WASAINI MAKUBALIANO KWENYE UTAFITI
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na kampuni ya TAQA ya nchini Misri wamefikia makubaliano ya kushirikiana katika kufanya utafiti na kuangalia masoko ya… Read More →
-
25Jun
NYUMBA 209 ZA MNAZI MMOJA MKOANI LINDI KUANZA KUTUMIA GESI ASILIA
Maafisa wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), wamefanya mkutano wa kutoa elimu kuhusu matumizi ya gesi asilia kwa Wananchi wa Kata ya Mnazi… Read More →
-
02Jun
FURSA MIKOPO VITUO VIDOGO VIJIJINI
TANGAZO-LA-FURSA-YA-MKOPO-NAFUU-UJENZI-NA-UENDESHAJI-WA-VITUO-VIDOGO-VYA-MAFUTA-MAENEO-YA-VIJIJINIDownload Read More →
-
30May
TPDC MPISHI ASIEONEKANA HADHARANI LAKINI CHAKULA CHAKE HULIWA NA KUFURAHIWA NA WENGI
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limetajwa kama mpishi anaepika chakula kitamu na kizuri kinachofurahiwa na kupongezwa na wateja ambapo sifa hupewa mhudumu aliyehudumia… Read More →
-
19May
TPDC YAFANYA BONANZA KUKUZA UJIRANI MWEMA
Shirika la Maendeleo la Petroli Tanzania limefanya Bonanza la ujirani mwema katika Kata ya Mnazi Mmoja iliyopo Mkoani Lindi ambayo inapitiwa na miundombinu ya bomba… Read More →