>
emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania
ega Logo
Kimkakati
svg-tree

Tanzania has discovered significant reserves of natural gas off the coast of Lindi and Mtwara, in deep-water fields located more than 100 kilometers offshore, at water depths of up to 2.5 kilometers. These discoveries form a critical energy resource base for the country and lay the foundation for the development of the Tanzania LNG (TLNG) Project. The project is being implemented following four major deep-sea gas discoveries made in Blocks 1,...

Soma Zaidi

Mradi huu unahusisha ujenzi wa bomba la inchi 24 lenye urefu wa kilomita 1,443 lenye uwezo wa kusafirisha mapipa 216,000 ya mafuta ghafi kwa siku kutoka Hoima, Uganda, hadi Chongoleani (Tanga), Tanzania, ili kuwezesha usafirishaji wa Mafuta ghafi ya Uganda hadi soko la kimataifa. Kituo cha mauzo ya baharini kitajengwa Chongoleani, Tanga. Bomba litapashwa joto zaidi ya 50°C kwa mtiririko rahisi wa mafuta.  Mradi huo unatekelezwa n...

Soma Zaidi
Mpangilio