Waziri wa Viwanda na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Ametembelea Banda la Maonesho la TPDC

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaaban (wa pili kushoto) akipewa maelezo kuhusu umuhimu wa matumizi ya gesi asilia katika kuzalisha umeme, matumizi ya gesi asilia viwanda, kwenye magari na majumbani na Mhandisi Eva Swillah kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) alipotembelea banda la TPDC kwenye Maonesho ya Saba ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania katika Uwanja wa Mwl. J.K Nyerere (SabaSaba)