TPDC KUTOA MCHANGO MKUBWA KATIKA DIRA YA TAIFA YA 2050
- By:Beatrice Peter
- Category:TPDC
- 0 comment
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limefanya kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi kwa lengo la kutathimini mambo yaliyofanyika katika Shirika ili kuzidi kuboresha ufanisi wa kazi Kikao hicho kimefanyika leo tarehe 18/02/2025 katika ukumbi wa mikutano wa Morena Mjini Morogoro na kufunguliwa rasmi na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TPDC Mhe. Balozi Ombeni Sefue. Akizungumza wakati akifungua kikao hicho Mhe. Balozi Sefue ameeleza kuwa kupitia baraza hilo…
Read more →