NCHI NNE MBIONI KUNUFAIKA NA GESI ASILIA TANZANIA
- By:Beatrice Peter
- Category:TPDC
- 0 comment
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema tayari limeingia makubaliano na Kampuni mbili za kigeni kwa ajili ya ujenzi wa mitambo ya kisasa ya kusafirisha gesi asilia katika nchi ya Uganda, Congo,Kenya na Zambia. Kampuni ambazo zimeingia makubaliano na TPDC Mei 2024 ni ROSETTA kutoka nchi za Falme za Kiarabu na KS Energy ya Uturuki huku mkataba mwingine ukisainiwa na Kampuni ya ESSA ya nchini Indonesia kwa ajili ya uzalishaji wa mbolea aina…
Read more →