Ujenzi wa Karakana ya Kupaka Rangi Mabomba Eneo la Sojo Unaendelea
- By:Beatrice Peter
- Category:TPDC
- 0 comment
Ujenzi wa Karakana ya Kupaka Rangi Mabomba Eneo la Sojo Unaendelea Shughuli za ujenzi wa Karakana ya mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika Kijiji cha Sojo, Nzega Mkoani Tabora uko katika hatua nzuri. Ujenzi huo unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu na kinachoendelea sasa ni wakandarasi kutoka kampuni nne tofauti wanashirikiana kujenga kiwanda kitakachotumika kuandaa mabomba na kuyaongezea uwezo wa kutunza joto pamoja kupaka…
Read more →