TPDC KUJENGA VITUO VINNE VYA GESI ASILIA
- By:admin
- Category:TPDC
- 0 comment
Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Dkt. James Mataragio alisema, ‘’kufikia mwezi Machi, 2023 Shirika litakuwa limekamilisha ujenzi wa vituo vinne vya kujaza gesi asilia iliyoshindiliwa (CNG) na kuanza kufanya kazi kwa ajili ya magari na majumbani.’’ Hayo yalibainishwa Juni 8, 2022 wakati wa utiaji saini wa makubaliano kati ya TPDC na Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) ya kutumia eneo kujenga…
Read more →