Kagera ipo Imara Kulinda Bomba la Mafuta
- By:Beatrice Peter
- Category:TPDC
- 0 comment
Kagera ipo Imara Kulinda Bomba la Mafuta Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Charles Mbuge alisema, Mkoa huo umejipanga kuulinda mradi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima, Uganda hadi Chongoleani Mkoani Tanga. Meja Jenerali Mbuge amesema hayo wakati wa mahojiano maalum na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Mkoani Kagera, ambapo amezungumzia ujio wa mradi wa bomba hilo nchini ukitokea Uganda. Alisema Mkoa wa Kagera…
Read more →