Nyumba 570 Zaunganishwa na Mtandao wa Gesi Asilia Dar es salaam
- By:admin
- Category:TPDC
- 0 comment
Nyumba 570 Zaunganishwa na Mtandao wa Gesi Asilia Dar es salaam Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeendelea na utekelezaji wa miradi ya kusambaza gesi asilia ambapo nyumba 570 za maeneo ya Sinza na Kota za Polisi Kurasini jijini Dar es Salaam zimeunganishwa na mtandao wa gesi asilia.Akizungumza wakati wa ukaguzi wa mradi huo, Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dkt. James Mataragio alisema, “ tumekamilisha mradi huu wa nyumba 570…
Read more →