SERIKALI YAONDOA TOZO KWENYE GESI ASILIA
- By:Beatrice Peter
- Category:TPDC
- 0 comment
Serikali imeridhia ombi la kuondoa ushuru wa shilingi 382 iliyokuwa imepanga kuweka kwenye kila kilo ya gesi asilia inayotumika kwenye magari kuanzia mwaka ujao wa fedha 2024/25. Ushuru huo umeondolewa kufuatia ushauri wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti ambayo imeeleza kuwa haikubaliani na ushuru huo kwani sekta ya gesi bado ni changa na inaendelea kukua taratibu na hadi sasa haijaweza kutumika kikamilifu nchini kutokana na gharama za kufunga…
Read more →