Our Latest Blog Posts
16
Jan

TPDC Imetoa Jumla ya Shilingi 1.5 Bilioni kwenye Shughuli za Kijamii Nchini

TPDC Imetoa Jumla ya Shilingi 1.5 Bilioni kwenye Shughuli za Kijamii Nchini Hayo yamezungumzwa na Kaimu Meneja wa Kitengo cha Usalama cha GASCO kutoka Kampuni Tanzu ya TPDC ndugu Fred Mfikwa wakati akikabidhi viti na meza 85 kwa Shule ya Sekondari ya Kikanda Mkoani Lindi.  “Uwajibikaji kwa jamii ni kipaumbele cha Shirika ikiwa mpaka sasa zaidi ya shilingi bilioni 1.5 zimetumika kutekeleza miradi mbalimbali ya kuinua huduma za kijamii kwenye…

Read more →
10
Jan

TPDC Yaendesha Zoezi la Utoaji Elimu ya Miundombinu ya Gesi Asilia Mkoani Lindi

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) liliendesha zoezi la utoaji elimu kwa Wananchi wa Vijiji/Mitaa inayopitiwa na miundombinu ya gesi asilia.Shirika limekua na utaratibu wa kutoa elimu kwa umma juu ya miradi mbalimbali ya utafiti na uendelezaji wa nishati ya mafuta na gesi asilia nchini. Elimu hii imetolewa ikiwa ni sehemu ya kuimarisha mahusiano mazuri na kuwajengea uwezo wananchi kutambua fursa za uwekezaji wa miradi ya gesi pamoja na…

Read more →
14
Dec

TPDC Yaendesha Semina Kwa Waandishi Wa Habari

TPDC Yaendesha Semina Kwa Waandishi Wa Habari Waandishi wa Habari wamekumbushwa kutumia vyema taaluma yao kuisemea Sektaya mafuta na gesi asilia nchini ambayo imekuwa na mchango mkubwa katika Uchumiwa TaifaHayo yamesemwa na Meya wa Manispaa ya Morogoro Mhe. Paschal Kihangi wakatiwa ufunguzi wa semina ya Waandishi wa Habari kuhusu Sekta ya mafuta na gesi asiliaMkoani MorogoroSemina hiyo imeandaliwa na Shirika la maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) ikiwa nalengo la kuwajengena…

Read more →
07
Dec

Gesi Asilia Kukuza Sekta ya Viwanda

Gesi Asilia Kukuza Sekta ya Viwanda Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) linaendelea na zoezi la kutoa elimukwa wananchi mbalimbali waliohudhuria kwenye Maonesho ya Saba ya Viwanda yenyekauli mbiu ‘’Nunua Bidhaa za Tanzania Jenga Tanzania’’ yanafanyika katika viwanjavya Mwl. J.K Nyerere jijini Dar es salaam.Akizungumza katika Maonesho hayo Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na MawasilianoBi. Marie Msellemu amesema lengo la TPDC ni kuongeza kasi ya usambazaji wa gesiasilia kwenye…

Read more →
04
Dec

Waziri wa Viwanda na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Ametembelea Banda la Maonesho la TPDC

Waziri wa Viwanda na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Ametembelea Banda la Maonesho la TPDC Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaaban (wa pili kushoto) akipewa maelezo kuhusu umuhimu wa matumizi ya gesi asilia katika kuzalisha umeme, matumizi ya gesi asilia viwanda, kwenye magari na majumbani na Mhandisi Eva Swillah kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) alipotembelea banda la TPDC kwenye Maonesho ya Saba ya…

Read more →
25
Nov

Waziri Makamba Atoa Maagizo kwa TPDC Na PURA

Waziri Makamba Atoa Maagizo Kwa TPDC Na PURAWaziri wa Nishati Mhe. January Makamba, ameliagiza Shirika la Maendeleo ya PetroliTanzania (TPDC) pamoja na Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA),kuhakikisha mradi wa uchimbaji wa gesi kitalu cha Ruvuma kilichopo Mkoani Mtwaraunakamilika kwa wakati.Mhe. Makamba ameyasema hayo leo tarehe 25/11/2022 Jijini Dar es Salaam wakatihalfa ya uwekaji saini Mkataba wa Nyongeza wa Uzalishaji na Ugawanaji Mapato (PSA)Kitalu cha Ruvuma-Mtwara kati…

Read more →
01
Nov

Gazeti Toleo La 16

Waziri Makamba Azindua Bodi Ya TPDC Soma Kwa Undani http://tpdc.co.tz/wp-content/uploads/2022/11/TPDC-gazeti4.pdf

Read more →
04
Oct

Tpdc Kujenga Bomba La Gesi Jipya Mtwara 

Tpdc Kujenga Bomba La Gesi Jipya Mtwara  Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanza mchakato wa Ujenzi wa Bomba la gesi kutoka Ntorya hadi Madimba lenye urefu wa kilomita 35. Mchakato huo umeanza kwa  kufanya mkutano wa uhamasishaji kwa wananchi wa Kata ya Madimba, Moma, Mbawala na Nanguruwe kuhusu ujenzi wa mradi huo ambao utaanzia Kijiji cha Ntorya. Akizungumza wakati wa mkutano huo Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Dustan…

Read more →
11
Sep

TPDC Yachangia Shilingi Milioni 100 JKCI

TPDC Yachangia Shilingi Milioni 100 JKCI Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt.Jakaya Kikwete amezitaka Taasisi na Mashirika kuendelea kuandaa mashindano ya mbio za  hisani (MARATHON) yatakayosaidia katika kuchangisha fedha kwa ajili ya huduma za matibabu kwa wananchi. Akizungumza  Jijini Dar es salaam kwenye mashindano ya mbio hizo za hisani yaliyoandaliwa na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)kwa lengo la   kuwezesha kuchangia gharama za upasuaji kiasi cha Sh.milioni…

Read more →
29
Aug

TPDC Yawaalika Watanzania Kuchangia Matibabu ya Ugonjwa wa Moyo

TPDC Yawaalika Watanzania Kuchangia Matibabu ya Ugonjwa wa Moyo Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Dkt. James Mataragio amewaomba watanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki mbio za hisani maarufu kama TPDC MARATHON zilizoandaliwa na  Shirika hilo kwa lengo la kupata fedha za kusaidia upasuaji kwa watoto 50 wenye matatizo ya moyo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam. Akizungumza na Waandishi wa…

Read more →